Friday, March 21, 2014
KUANZIA SASA MTOTO ATAKAYEZALIWA SAUDI ARABIA MARUFUKU KUPEWA MAJINA HAYA.
Do you like this story?
. Wizara ya mambo ya ndani ya Saudi
Arabia imepiga marufuku majina hamsini ambayo yapo kinyume na tamaduni pamoja
na dini ambapo kuanzia sasa, wazazi kutoka falme hiyo hawataruhusiwa tena
kuwapa watoto wao.
Majina
hayo ni kama Linda, Alice, Elaine au Binyamin (jina lenye maana Benjamin)
ambapo jina la Benjamin (Binyamin) kwa dini ya kiislamu linaaminika kuwa jina
la mtoto wa mtume Jacob, yaani Yacoub kwa dini.
Mengine
katika orodha hiyo ambayo hayatoruhusiwa ni kwa sababu yanaaminika kuwa yenye
kufuru, yasiyo ya kiarabu na yasio ya kiislamu au yenye kupingana na tamaduni
na dini ya falme hiyo.
Sababu
nyingine ni ya kigeni ama ya ughaibuni yakiwemo yenye maana ya ufalme au
ukubwa, cheo flani kama Sumuw (mtukufu), Malek (mfalme) na Malika (Malkia).
Majina
mengine hayapo katika jamii hizi hivyo hakuna sababu zilizotolewa juu yake, hii
ni sehemu nyingine ya orodha yenyewe ambapo ni Malaak (angel), Abdul Aati,
Abdul Naser, Abdul Musleh, Binyamin (Arabic for Benjamin) Naris, Yara, Sitav.
Mengine
ni Loland, Tilaj, Barrah, Abdul Nabi, Abdul Rasool, Sumuw (highness), Al
Mamlaka (the kingdom), Malika (queen), Mamlaka (kingdom), Tabarak (blessed),
Nardeen, Sandy, Rama (Hindu god), Maline, Elaine, Inar, Maliktina Maya.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “KUANZIA SASA MTOTO ATAKAYEZALIWA SAUDI ARABIA MARUFUKU KUPEWA MAJINA HAYA.”
Post a Comment