Friday, March 14, 2014

RAIS DKT.JAKAYA KIKWETE AWAAPISHAKATIBU NA NAIBU KATIBU WA BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO.


Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Bw, Yahya Khamis Hamad akiapa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete Leo Mjini Dodoma.

Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Yahya Khamis Hamad akisaini Kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete Leo Mjini Dodoma.

Naibu Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Thomas Kashilila akiapa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete Leo Mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Samwel Sitta (kushoto) akisalimiana na aliyekuwa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge hilo Pandu Ameir Kificho wakati wa Hafla ya kuwaapisha Katibu na Makamu Katibu wa Bunge Maalum la Katiba.Katikati ni Mjumbe wa Bunge hilo na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha Rose Migiro Mjini Dodoma.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (Mwenye tai ya bluu) akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta (kulia), Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Bw. na Naibu wa Bunge Hilo Thomas Kashilila (Kushoto kwa  Katibu wa Bunge) Leo Mjini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akiwaeleza jambo Waziri Mkuu Mizengo Pinda(kulia kwa Rais) akifuatiwa na  Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta, Prof. Mark Mwandosya na Mwisho Pindi Chana.

0 Responses to “RAIS DKT.JAKAYA KIKWETE AWAAPISHAKATIBU NA NAIBU KATIBU WA BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO.”

Post a Comment

More to Read