Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akipokea toka kwa Kamishna
wa Sensa Hajjat Amina Mrisho Ripoti ya Mgawanyo wa Watu kwa Umri na Jinsia
kwa data za sensa ya watu na makazi mwaka 2012 leo Machi 13, 2014
Ikulu jijini Dar es salaam
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu
Dkt. Albina Chuwa ambaye pamoja na Kamishna wa Sensa Hajjat Amina Mrisho
baada ya kupokea Ripoti ya Mgawanyo wa Watu kwa Umri na Jinsia kwa data za
sensa ya watu na makazi mwaka 2012 leo Machi 13, 2014 Ikulu jijini
Dar es salaam
0 Responses to “RAIS KIKWETE APOKEA RIPOTI YA MGAWANYIKO WA WATU KWA UMRI NA JINSIA LEO IKULU, DAR ES SALAAM.”
0 Responses to “RAIS KIKWETE APOKEA RIPOTI YA MGAWANYIKO WA WATU KWA UMRI NA JINSIA LEO IKULU, DAR ES SALAAM.”
Post a Comment