Monday, March 24, 2014

TAZAMA PICHA ZA MATUKIO TOFAUTI TOFAUTI KATIKA ZIARA YA RAIS KIKWETE MKOANI TANGA, ALIVYOZINDUA BWAWA LA MAJI MKATA HANDENI.






Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua baadhi ya madume bora ya ng’ombe na kisha kuwakabidhi baadhi ya wafugaji katika kijiji cha Msomela wilayni Handeni leo.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza mmoja wa wafugaji mwenye asili ya kimasai bwana Shayo Lahoda aliyegawiwa dume bora la ng’ombe katika kijiji cha Msomela wilayani handeni leo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Bwawa 
Maji la Mkata wilayani Handeni leo


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na ngoma za utamaduni baada ya kuzindua Bwawa la Maji la Mkata wilayani Handeni leo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Bwawa la maji la Mkata muda mfupi baada ya kulizindua huko Mkata wilayani Handeni Mkoa wa Tanga leo asubuhi.Rais Kikwete yupo Mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo. Picha na Freddy Maro wa Ikulu.

0 Responses to “TAZAMA PICHA ZA MATUKIO TOFAUTI TOFAUTI KATIKA ZIARA YA RAIS KIKWETE MKOANI TANGA, ALIVYOZINDUA BWAWA LA MAJI MKATA HANDENI.”

Post a Comment

More to Read