Tuesday, March 18, 2014

WAZIRI MKUU MHE. PINDA AZINDUA MRADI WA MAJI KIBAIGWA.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Mradi wa Maji wa Mji Mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa ni moja ya shughuli za Wiki ya Maji nchini Machi 17, 2014.. Kulia kwake ni Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe.

Waziri Mkuu, izengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Maji wa Mji Mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa ni Moja ya Shuguli za wiki ya Maji Machi 17, 2014.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua bomba la maji kuashira uzinduzi wa Mradi wa Maji wa Mji Mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa ni Moja ua Shiguli za wikiya Maji. Kulia Kwake ni Waziri wa Maji na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma , Rehema Nchimbi.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimtwika ndoo ya maji, bibi Emaculata Mazengo wakati alipozindua mradi wa maji wa Mji mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwaikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya Maji Machi 17, 2014. 

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia baada ya kuzindua mradi wa maji wa mji mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya maji Aprili 17, 2014.

0 Responses to “WAZIRI MKUU MHE. PINDA AZINDUA MRADI WA MAJI KIBAIGWA.”

Post a Comment

More to Read