Tuesday, April 29, 2014

BASI LA HOOD LATEKETEA KWA MOTO ENEO LA WAMI.




Basi la Hood kutoka Mbeya-Arusha, laungua moto eneo la Wami, Pwani. Chanzo hakijulikani, hakuna vifo wala majeruhi, Polisi wathibitisha.

0 Responses to “BASI LA HOOD LATEKETEA KWA MOTO ENEO LA WAMI.”

Post a Comment

More to Read