Wednesday, April 16, 2014
UFUNGUZI WA MAONYESHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO DAR ES SALAAM.
Do you like this story?
Chungu na kibuyu vilivyotumika na waasisi wa Muungano kuchanganya udongo mwaka 1964, vinapatikana katika banda la Ofisi ya Makamu wa Rais. |
Kikundi cha ngoma toka Jeshi la Kujenga Taifa kikitumbuiza kwenye uzinduzi wa maonyesho ya miaka 50 ya Muungano katika viwanja vya Mnazi mmoja |
Wananchi mbalimbali waliojitokeza kutemebelea banda la Ofisi ya Makamu wa Rais wakiangalia majarida mbalimbali bandani hapo na kusaini kitabu cha wageni. |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “UFUNGUZI WA MAONYESHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO DAR ES SALAAM.”
Post a Comment