Wednesday, May 21, 2014
KAHABA MKONGWE UINGEREZA ASEMA ANA MVUTO
Do you like this story?
Katika
Umri wa miaka 85, Sheila Vogel-Coupe ni kahaba mkongwe zaidi nchini Uingereza
na kwa umri huo bado anaweza kutengeneza Pauni 250 kwa saa moja kwa kazi yake.
Miaka
minne baada ya kifo cha mume wake wa pili , Vogel-Coupe aliingia katika ukahaba
,kutokana na anachosema ni ukiwa ilikuwa ndio sababu ya kumfanya ajiingize
kwenye biashara hiyo.
Akiwa
na uwezo wa kuwaburudisha wateja walau 10-kwa wiki , ameweza kukutana na wateja
wengi kuliko unavyoweza kufikiria.
Akizungumza
kuhusu wateja wake wa kiume, alisema : "kuna kitu wanachokiona kwangu. Ni
hisia nzuri. Nafahamu nina mvuto sana."
Akiwa
amevalia sketi fupi (kimini) na viatu vyenye kisigino kirefu, Vogel-Coupe
alijisifu na kujivunia kwamba bado anaweza kutengeneza pesa kutoka chumbani
kwake.
Akielezea
kwa nini ameamua kuifanya kazi hiyo, alisema: " Sababu ya muhimu zaidi ni
kwamba napenda ngono. Hata kuifikiria tu inanifanya nijihisi vizuri''
Kwa
mujibu wa gazeti la Daily Mirror, Sheila atakuwa kwenye makala maalum kuhusu
maisha yake, 'My Granny the Escort'.
Onyesho
hilo litaangazia pia wanawake watatu makahaba walio vikongwe zaidi nchini
Uingereza.
Kwa
mujibu wa gazeti la Mirror, Sheila atakuwa kwenye makala maalum kuhusu maisha
yake,' My Granny the Escort'.
Onyesho
hilo litaangazia pia wanawake watatu makahaba walio vikongwe zaidi nchini
Uingereza.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “KAHABA MKONGWE UINGEREZA ASEMA ANA MVUTO”
Post a Comment