Leo
imetimia miaka 18 tangu ndugu zetu walipopata ajali na Meli ya MV.
Bukoba 21 May 1996, na wengi kupoteza maisha! Ni tukio kubwa lililoua
watu wengi nchini na kuacha huzuni kubwa kwa Watanzania.
Comment R.I.P kwao ili waendelee kupumzika kwa amani
0 Responses to “LEO NI MIAKA 18 YA KUMBUKUMBU YA MV. BUKOBA TOKA IZAME ZIWA VICTORIA!”
Post a Comment