Friday, May 23, 2014
RAIS KIKWETE AMEMTEUWA BW. GABRIEL NDERUMAKI KUWA MHARIRI MTENDAJI WA KAMPUNI YA MAGAZETI YA TANZANIA STANDARD NEWS PAPERS (TSN)
Do you like this story?
Bwana Gabriel Lyimo Nderumaki,Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali, Tanzania Standard NewsPapers (TSN). |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Gabriel Lyimo Nderumaki kuwa
Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali, Tanzania Standard NewsPapers (TSN).
Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali, Tanzania Standard NewsPapers (TSN).
Kulingana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Uteuzi huu umeanza tarehe 19 Mei, 2014.
Kabla ya uteuzi huo Bwana Nderumaki alikuwa Kaimu Mhariri Mtendaji wa Kampuni hiyo.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
22 Mei, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “RAIS KIKWETE AMEMTEUWA BW. GABRIEL NDERUMAKI KUWA MHARIRI MTENDAJI WA KAMPUNI YA MAGAZETI YA TANZANIA STANDARD NEWS PAPERS (TSN)”
Post a Comment