Friday, June 20, 2014
MAJENEZA SASA KUTOZWA KODI YA VAT.
Do you like this story?
Bungeni Dodoma |
Majeneza |
katika mkakati wake wa
kuhakikisha inakusanya kodi ipasavyo
serikali imependekeza kutoza kodi ya
ongezeko la thamani(VAT) katika
maeneo mbalimbali ikiwamo uuzaji wa majeneza.
Katika miaka ya karibuni biashara
ya majeneza Imekuwa kwa kasi kubwa hasa dar es salaam . pendekezo hilo limo
katika muswada wa sheria ya VAT
unaotarajiwa kuwasilishwa bungeni kuanzia june 27 mwaka huu ambao pia umependekeza kutoa kaodi hiyo katika maeneo mengine ya usindikaji maziwa makandarasi wazawa na sekta ya utalii.
Naibu waziri wa fedha mwigulu nchemba alisema jana kuwa ngoja
tusikilize wadau wanasemaje lakini lengo
la serikali ni kukuza uchumi na kukusanya mapato.
Alisema kuondoa misamaha ya
kodi si njia pekee ya kuvutia uwekezaji na kusisitza kuwa nchi nzima lazima ipate fedha ili kupeleka huduma kwa wnanchi juzi
taasisi ya sekta binafsi Tanzania TPSF ilikutana na kamati ya bunge ya bajeti weizara ya fedha
pamoja na maofisa wa mamlaka
ya mpato Tanzania TRA
kujadili muswada huo na kutoa
maoni yao huku wabunge wengi
wakiupinga na kutaka uboreshwe.
Baadahi ya wdau wa sekta
binafsi walimweleza mwenyekiti wa kamti
ya bajeti Andrew change kuwa licha ya muswada huo kutakiwa kufanyiwa marekebisha
hata wao hawakushirikishwa ipasavyo kwa
malezo kuwa waliuona novemba mwaka
jana na kupewa wiki moja tu ya
kujadili na ktuoa maoni yao.
Kwa masharti ya kutotajwa
majina baadhi ya wajumbe wa kamati ya
bajeti walisema ni jambo la ajabu kwa serikali kuanza kukusanya kodi hadi
katika uuzaji wa majeneza.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “MAJENEZA SASA KUTOZWA KODI YA VAT.”
Post a Comment