Friday, June 20, 2014
MBUNGE MAKOFI KWA BAKULI.
Do you like this story?
Spika wa bunge anne makinda amewataka wabunge waache kupiga makofi kwa kutumia njia zisizo rasmi vikao vya bunge baada ya mmoja wa wabunge hao kutumia bakuli kupiga makofi
badala ya mkono.
Hali hiyo ilijitokeza jana muda mfupi baada ya mbunge
wa lindi mjini salum buruani akuchangia
hotuba ya bajeti ya wizara ya fedha kwa
mwaka wa fedha 2014/15.
Naombeni waheshimiwa tutumie utaratibu wa kawida katika kupiga makofi bungeni alsiema spika makinda baada ya
wbunge kuanza kunong’ona kutokana
na hatua ya mwenzao huyo.
Kauli hiyo ilitokana na mmoja wa wabunge kupiga makofi
kwa kutumia bakuli ambalo hutumika kawa ajili ya
kuwekea pipi za wabunge wakati wakiendela na vikao vnaniya ukumbu wa bunge.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “MBUNGE MAKOFI KWA BAKULI.”
Post a Comment