Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakifuatilia mazungumzo
ya namna Kampuni ya Equator Automech itakavyoshrikiana na Jeshi la
Magereza kupitia Shirika lake la Magereza katika miradi yake ya Kilimo.
Mazungumzo hayo yamefanyika leo Agosti 13, 2014 Jijini Dar es Salaam(wa
kwanza kulia) ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma
Malewa(wa pili kulia) ni Kamishna wa Fedha na Utawala wa Magereza,
Gaston Sanga(katikati) ni Mkuu wa Kitengo cha Kilimo na Mifugo, Kamishna
Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Mlasani Kimaro(wa kwanza kushoto) ni
Mthibiti wa Fedha wa Jeshi la Magereza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa
Magereza, Gideon Nkana(wa pili kushoto) ni Mwanasheria wa Jeshi la
Magereza, Mrakibu Mwandamizi wa Magereza, Issack Kangura(Picha zote na
Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza). |
0 Responses to “KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA KAMPUNI YA EQUATOR AUTOMECH LEO JIJINI DAR ES SALAAM”
Post a Comment