Wednesday, August 13, 2014

LORI LA MCHANGA LAPINDUKA MBEYA DEREVA AFARIKI PAPO HAPO.


 Lori la Mchanga linalomilikiwa na kampuni ya CCC ambalo namba zake hazikuonekana mara moja Muda mchache baada ya kupata ajali

Gari hilo la Mchanga likiwa limeruka eneo hilo mpaka kuparamia ukuta na Kupinduka







0 Responses to “LORI LA MCHANGA LAPINDUKA MBEYA DEREVA AFARIKI PAPO HAPO.”

Post a Comment

More to Read