WATUHUMIWA19 wa milipuko ya mabomu jijini Arusha wamepandishwa
kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi na kusomewa mashitaka ya
mauaji, kula njama na kushawishi, ugaidi huku wakitakiwa kutojibu
chochote. Kesi yao imeahirishwa na itatajwa tena Agosti 15, mwaka huu. |
0 Responses to “WATUHUMIWA 19 WA UGAIDI WAPANDISHWA KIZIMBANI JIJINI ARUSHA.”
Post a Comment