Thursday, September 25, 2014

TAZAMA PICHA UNAAMBIWA HAWA NDIYO WATOTO WA MARAISI WA AFRIKA AMBAO NI WAREMBO KUPINDUKIA


AngePaul Kagame

Nyepudzayi Bona Mugabe

Faith Sakwe Jonathan

Diana Karuguire Museven

Ngina Uhuru Kenyatta


Ana miaka 24. Ni binti wa Rais wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe. Ni binti aliyetikisa mitandaoni kutokana na mambombalimbali ya kijamii. Amefunga ndoa hivi karibuni

Sifa Joseph Kabila

Amezaliwa mwaka 2001, baba yake ni Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila. Anatajwa kuwa binti mtulivu na msikivu.

Mwaka huu amekamata wa 23, baba yake ni Rais wa Kenya, Uhuru Jomo Kenyatta. Mitandao inamtaja kwamba ana mvuto, pia anaongoza kwa kuwa na marafiki wengi wa kike.

Stella Mutale Sata
Baba yake ni Rais wa Zambia, Mutale Sata. Binti mwenyewe yupo poa sana kwa sasa ana miaka 20 tu.



Ni binti wa Rais wa Uganda, Joel Kaguta Museven. Amefunga ndoa. Mitandao inamtaja ni binti aliyetulia ndiyo maana akapigwa jicho na mwanaume na kufunga ndoa. 

0 Responses to “TAZAMA PICHA UNAAMBIWA HAWA NDIYO WATOTO WA MARAISI WA AFRIKA AMBAO NI WAREMBO KUPINDUKIA”

Post a Comment

More to Read