Thursday, September 25, 2014

TAZAMA VIDEO YA MAANDALIZI YA SERENGETI FIESTA MBEYA TAREHE 28.9.2014.............!!! Nisheedah





Akitoa ratiba nzima ya Sherehe hizo Mussa amesema septemba 26 mwaka huu kutakuwa na Bonanza litakalo husisha Timu 4 kutoka katika bar mbalimbali za jiji la Mbeya  ambapo mshindi wa kwanza katika bonanza hilo atapatiwa zawadi ya Katoni kumi za Bia kutoka Serengeti huku mshindi wa pili akipatiwa katoni 5 bonanza ambalo litafanyika katika viwanja vya chuo cha uhasibu T.I.A .

Amesema bonanza hilo  lifanyika kwa lengo la kuamsha hisia za wakazi wa jiji la mbeya katika kuelekea kilele cha Serengeti Fiesta 2014 katika viwanja vya Sokoine siku ya jumapili Septemba 28 mwaka huu.

0 Responses to “TAZAMA VIDEO YA MAANDALIZI YA SERENGETI FIESTA MBEYA TAREHE 28.9.2014.............!!! Nisheedah”

Post a Comment

More to Read