Nay wa Mitego akikabidhi moja ya misaada iliyotolewa na baadhi ya wasanii wa Serengeti Fiesta muda mfupi baada ya ajali.
Msanii
Shilole na mtangazaji wa Clouds Fm Adam Mchomvu wakikabidhi misaada
katika Hospitali ya Mkoa wa Mara kwa ajili ya majeruhi wa ajali
iliyotokea jana.
0 Responses to “ WASANII SERENGETI FIESTA WATOA MSAADA KWA WAHANGA AJALI MBAYA YA MAGARI MATATU BUTIAMA”
0 Responses to “ WASANII SERENGETI FIESTA WATOA MSAADA KWA WAHANGA AJALI MBAYA YA MAGARI MATATU BUTIAMA”
Post a Comment