Thursday, October 30, 2014

BENKI YA POSTA TANZANIA (TPB)YAZINDUA AKAUNTI KWAAJILI YA MASHABIKI NA WADAU WA MBEYA CITY FC



Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dkt Nouman Sigalla akizungumza na mashabiki na waalikwa katika hafla

Mkuu wa wilaya akisubr kadi yake ya uwanachama

Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania Deogratius Kwiyukwa akionyesha moja ya kadi za mashabiki wa  Timu ya Mbeya City



Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TPB Jema Msuya 


Katibu wa Mbeya City Emanuel Kimbe 





0 Responses to “BENKI YA POSTA TANZANIA (TPB)YAZINDUA AKAUNTI KWAAJILI YA MASHABIKI NA WADAU WA MBEYA CITY FC”

Post a Comment

More to Read