Friday, October 3, 2014
MGAO WA UMEME KUBAKI HISTORIA TANZANIA.
Do you like this story?
Hatua hiyo itafikiwa kutokana na mtambo unaojengwa katika kituo kingine cha umeme kilichopo Tabata kinyerezi kuongezeka na kitakuwa na uwezo wa kuzalisha umeme mega watts 150.
Akizungumza jijini
Dar es Salaam Katibu Mkuu wa wizara ya Nishati na Madini Eliakimu Maswi amesema
hadi sasa wana jumla ya vituo kumi ambavyo vinazalisha
umeme.
Naye Mkuu wa Mkoa
Said Mecky Sadick ametoa wito kwa wanachi kutunza miundombinu ili kusudio
lililowekwa katika maendeleo ya nchi hususan katika gesi na umeme liweze
kufikiwa kwa wakati.
Serikali imeweza
kugharimia mtambo wa umeme katika kituo hicho kilichopo Tabata kinyerezi kwa
Dollar million 139 ambazo ni fedha za serikari na sio
za ufadhili.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “MGAO WA UMEME KUBAKI HISTORIA TANZANIA.”
Post a Comment