Thursday, October 2, 2014
USAJILI MPYA WA PIKIPIKI NA BAJAJI
Do you like this story?
Serikali
imeamua kuanzisha usajili mpya wa namba za pikipiki (aina zote za pikipiki
zenye magurudumu mawili na zile za magurudumu matatu) ili kurahisisha usimamizi
na utawala wa vyombo vya moto.Utaratibu mpya unaanza rasmi tarehe 1/10/2014,
Mmiliki anapewa muda wa miezi sita kusajili chombo cha moto bila adhabu.
Utaratibu
huu utahusu chombo cha moto chenye magurudumu mawili hadi matatu. Chombo cha
moto kitakachotumika kwa ajili ya biashara kitapewa kibao cha rangi nyeupe na
chombo kwa ajili ya shughuli binafsi kitapewa kibao cha namba ya njano.
Usajili
huu utafanyika katika ofisi zote za TRA naMmiliki anatakiwa
kwenda TRA na kadi halisi ya gari na Tshs.10, 000/- kwa ajili ya kadi mpya.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “USAJILI MPYA WA PIKIPIKI NA BAJAJI”
Post a Comment