Saturday, November 1, 2014

PICHA: WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MARA WAINGIA KWENYE MGOMO







Kutokana na kuwepo madai ya wanafunzi wa Mara sekondari kuwa ratiba ya chakula ni mbovu shuleni hapo pamoja matibabu duni, wanafunzi hao wamefanya mgomo hii leo

Hali hiyo imepelekea wanafunzi kulundikana kwa mafungu kama unavyoona kwenye picha, huku uongozi wa shule ukihaha kutafuta suluhu

Taarifa zaidi utazidi kuipata hapa hapa

Picha na Augustine Mgendi wa eddy blog Mara

0 Responses to “PICHA: WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MARA WAINGIA KWENYE MGOMO ”

Post a Comment

More to Read