Monday, May 4, 2015

WANAFUNZI WALIA VITUONI ATHARI ZA MGOMO WA MABASI NA DALADALA JIJINI MBEYA


Leo hakuna adhabu ya kuchelewa namba shule.......ni wanafunzi wa shule mbaimbali jijini mbeya wakiwa katika kituo cha mabasi madogo daladala Mwanjelwa wakisubiri usafiri wa aina yoyote utakao wafikisha mahala wanapo takiwa kufika mara baada ya kuwepo kwa mgomo wa madereva wa daladala na mabasi makubwa wakishinikiza serikali kuwatatulia kero mbalimbali walizo nazo ambazo wanataka wamiliki au waajili wao wazipatie ufumbuzi(.Picha na Fahari News)



HE!!! kumbe hawa si abiria ni madereva na makonda wa daladala nao wakihaha kutaka kutoa huduma lakini ndo hivyo wanasubiri tamko la viongozi wao




hatimaye bajaji zatinga kazini kuwahi fursa

Hapo kwenye Lori hakuna nauli ni msaada tu.(Picha na Fahari News)













0 Responses to “WANAFUNZI WALIA VITUONI ATHARI ZA MGOMO WA MABASI NA DALADALA JIJINI MBEYA ”

Post a Comment

More to Read