Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia kusimikwa kwa Kiongozi
mpya wa kabila la Waluguru Chifu Kingalu wa 15 katika kijijini Kinole
mkoani Morogoro Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo cha Chifu Kingalu
wa 14 aliyefariki jana Jumatano jijini Dar es salaam na kuzikwa leo
kijijini hapo.
Kiongozi mpya wa kabila la
Waluguru Chifu Kingalu wa 15 akitolewa nje baada ya kusimikwa rasmi kuwa
kiongozi wa kabla hilo kijijini Kinole mkoani Morogoro Alhamisi Julai
3, 2015 kufuatia kifo cha Chifu Kingalu wa 14 aliyefariki jana Jumatano
jijini Dar es salaam na kuzikwa leo kijijini hapo.
Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru Chifu Kingalu wa 15 akichomeka
fimbo yake ya Uchifu kabla ya kuketi meza Kuu na Rais Jakaya Mrisho
Kikwete baada ya kusimikwa rasmi kuwa kiongozi wa kabla hilo kijijini
Kinole mkoani Morogoro Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo cha Chifu
Kingalu wa 14 aliyefariki jana Jumatano jijini Dar es salaam na kuzikwa
leo kijijini hapo.
PICHA NA IKULU
0 Responses to “RAIS KIKWETE ASHUHUDIA KUSIMIKWA KWA KIONGOZI MPYA WA WALUGURU CHIFU KINGALU WA 15 KIJIJINI KINOLE, MOROGORO ”
0 Responses to “RAIS KIKWETE ASHUHUDIA KUSIMIKWA KWA KIONGOZI MPYA WA WALUGURU CHIFU KINGALU WA 15 KIJIJINI KINOLE, MOROGORO ”
Post a Comment