Sunday, July 12, 2015

TAZAMA MAJINA YA WATATU WALIOPITISHWA URAIS CCM NA MATOKEO YA MWISHO HAYA HAPA.




July 12 2015 Tanzania ilikuwa inasubiri kwa hamu kujua Mgombea yupi anasimamishwa na CCM kwenye nafasi ya Urais 2015, ninayo Ripoti nyingine kutoka Dodoma sasahivi!!
Kura zimepigwa na Wajumbe wa Halmashauri Kuu CCM na matokeo yako hivi >>> John Pombe Magufuli 87%, Balozi Amina Ali 10% na Asha-Rose Migiro 3%.

0 Responses to “ TAZAMA MAJINA YA WATATU WALIOPITISHWA URAIS CCM NA MATOKEO YA MWISHO HAYA HAPA.”

Post a Comment

More to Read