Mkuu
wa mkoa wa Mbeya amepiga marufuku matumizi ya simu za mkononi wakati wa kazi
mkoani Mbeya ili watumishi wa serikali na mashirika ya umma wahudumie jamii kwa
wakati.
Hatua
hiyo inafuatia utekelezaji wa vitendo wa kauli mbiu ya rais John Magufuli kwa
vitendo iitwayo HAPA KAZI TU.
Chanzo:
TBC
0 Responses to “MKUU WA MKOA WA MBEYA ABBAS KANDORO AMEPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA SIMU ZA MIKONONI WAKATI WA KAZI ”
0 Responses to “MKUU WA MKOA WA MBEYA ABBAS KANDORO AMEPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA SIMU ZA MIKONONI WAKATI WA KAZI ”
Post a Comment