Sunday, May 29, 2016

REAL MADRID YA HISPANIA BAADA YA KUTWAA UBINGWA WA KOMBE LA 11 LA UEFA TAZAMA WALIVYO POKELEWA KATIKA JIJI LA MADRID










Klabu ya usiku wa May 28 2016 kwa kuwafunga wapinzani wao Atletico Madrid katika mchezo wa fainali ulio pigwa katika jiji la Milan, Italia uwanja wa San Siro, ilikuwa ni fainali inayohusisha timu kutoka jiji moja la Madrid.

Real Madrid walifanikiwa kutwaa Kombe lao 11, huku Atletico wakiambulia kushindwa kuweka rekodi ya kutwaa Kombe hilo kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu yao, Real Madrid walifanikiwa kuifunga Atletico kwa mikwaju ya penati 5-3, hiyo ni baada ya dakika 120 kumalizika kwa sare ya goli 1-1.

Real Madrid waliwasili Hispania katika jiji la Madrid wakiwa na Kombe lao la 11 la UEFA nakupokelewa na mashabiki wengi walio jitokeza kwa wingi katika jiji hilo la Madrid.





0 Responses to “REAL MADRID YA HISPANIA BAADA YA KUTWAA UBINGWA WA KOMBE LA 11 LA UEFA TAZAMA WALIVYO POKELEWA KATIKA JIJI LA MADRID”

Post a Comment

More to Read