Friday, July 15, 2016
SHULE ZA WAVULANA ZAONGOZA MATOKEO YA KIDATO CHA 6
Do you like this story?
Wizara
ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi kupitia Baraza la mitihani
Tanzania (NECTA) imetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka huu wa 2016.
Katibu
Mtendaji wa Necta, Charles Msondena amesema kuwa shule za wavulana ndizo
zimeonekana kufanya vizuri kwenye kumi bora.Aidha Msondena ameongeza kuwa
ufaulu umeshuka kwa asilimia 0.93 ikilinganishwa na mwaka 2015 ambapo ufaulu
ulikuwa 98.87.
Shule
10 zilizofanya vizuri kwenye matokeo hayo ni pamoja na Kisimiri (Arusha), Feza
Boys (Dar es Salaam), Alliance Girls (Mwanza), Feza Girls (Dar es Salaam),
Marian Boys (Pwani), Tabora Boys (Tabora), Kibaha (Pwani), Mzumbe (Morogoro),
Ilboru (Arusha) na Tandahimba (Mtwara).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “SHULE ZA WAVULANA ZAONGOZA MATOKEO YA KIDATO CHA 6”
Post a Comment