Saturday, October 8, 2016
KINACHOENDELEA HIVI SASA WAKATI AKITAFUTWA MSHINDI WA NGOMA ZA JADI TUKUYU
Do you like this story?
Leo October
8 2016 ndio siku maalum ya kumpata mshindi wa ngoma za jadi zilizoandaliwa na
Naibu spika wa bunge la Tanzania Dk. Tulia Ackson huku yakipewa jina la Tulia
Traditional Dances Festival ambapo jana October 7 2016 uzinduzi wake ulifanyika
mbele ya mgeni rasmi ambaye ni mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makala.
Mashindano
hayo yameandaliwa kwa lengo la kudumisha tamaduni za kitanzania, haya ni
mashindano yaliyoshirikisha tamaduni mbalimbali kutokea katika baadhi ya wilaya
za mkoa wa Mbeya ikiwemo Rungwe, Kyela na Tukuyu.
Hapa ninazo
picha 5 za kwanza kutokea katika viwanja vya Tandale, Tukuyu ambapo ndio
mashindano yanaendelea muda huu….
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “KINACHOENDELEA HIVI SASA WAKATI AKITAFUTWA MSHINDI WA NGOMA ZA JADI TUKUYU”
Post a Comment