Sunday, October 23, 2016
ORODHA YA WASANII WOTE WALIOSHINDA TUZO ZA MTV MAMA 2016
Do you like this story?
Wizkid alikuwa man of the night |
Ulikuwa ni mwaka wa Wizkid aliyeibuka na tuzo nyingi zaidi,
ikiwemo ya msanii bora wa mwaka. Diamond na Alikiba walikuwa miongoni ma
wasanii waliotumbuiza.
“Shukran sana sana kwa Kura na support Kubwa mlionipa na
mnayoendelea kunipa,” ameandika Diamond kwenye Instagram.
“Pia S/O kwa my fellow Tanzanian Artist wote waliobahatika
kuchaguliwa… Kuingia tunwengi kwenye MtvAwards ni Ushindi tosha kwa
Tanzania…ila wanna congrats my brothers @sautisol for the Best Group award… my
hommie @jahprayzah and @wizkidayo ya’ll deserve the Trophies,” ameongeza.
Alikiba amepost picha ya Sauti Sol na kuandika: Congratulations to my brothers @sautisol for
The MTV Best Group Winner. You have had a great year and you deserve it.”
Naye Vanessa Mdee amepost picha ya Yemi Alade aliyekuwa
akishindana naye kwenye kipengele cha msanii bora wa kike na kuandika: Congratulations to my lady love @yemialade na bado tunaenda #Juu and ALL the winners
tonight. Thankyou @mtvbaseafrica for the recognition and your continued efforts
to elevate Afrikan Music.Now lets get back to work kids.”
Kwa upande wao, Navy Kenzo wamewapongeza Sauti Sol kwa kuandika: With a Great pleasure we Thank God and all
Fans, family, friends and all of our teams,Thank you Everyone for voting and it
was a great exposure motivation and challenge towards major Goal…! We also Give
thanks to @mtvbaseafrica @mtvbaseafrica For the Nomination and recognition we
are very happy with a Great Gratitude. Until next Year. EAST AFRICA #KENYA AND
AFRICA AT LARGE LET’S STAND TOGETHER AND SAY CONGRATULATIONS @sautisol
@sautisol
@sautisol @sautisol #BESTGROUP #AFRICA.”
@sautisol @sautisol #BESTGROUP #AFRICA.”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “ORODHA YA WASANII WOTE WALIOSHINDA TUZO ZA MTV MAMA 2016”
Post a Comment