Thursday, April 3, 2014

RUNDO LA MENO YA TEMBO LAKAMATWA HUKO SINGIDA.


Mkuu wa Kitengo cha Hima Sheria Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Robert Mande (wapili kushoto) akimwonyesha Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu meno ya Tembo katika kituo cha Kikosi dhidi ya Ujangili (KDU) cha Kanda ya Kati, kilichopo Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida juzi, yaliyokamtwa hivi karibuni katika Kijiji vya Kiyombo kilichopo Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora na Kijiji aha Chinangali Kilichopo Wiliaya Chamwino Mkoani Dodoma hivi karibuni.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akiongea kwa uchungu kufuatia kukamatwa hivi karibuni katika Vijiji vya Kiyombo kilichopo Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora na Kijiji caha Chinangali Kilichopo Wilaya Chamwino Mkoani Dodoma hivi karibuni.

Mkuu wa Kitengo cha Hima Sheria Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Robert Mande (wapili kulia) akimwonyesha Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu Bunduli iliyokamtwa
pamoja na meno ya Tembo katika kituo cha Kikosi dhidi ya  Ujangili  (KDU) cha Kanda ya Kati,  kjilichopo Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida juzi, yaliyokamtwa hivi karibuni katika Vijiji vya Kiyombo kilichopo Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora na Kijiji caha Chinangali Kilichopo Wiliaya Chamwino Mkoani Dodoma hivi karibuni.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro (wapili kushoto) na Mkuu wa Wilaya Mayoni Mkoani
Singida, Fatma Toufiq (kushoto) wakiangalia meno ya Tembo katika kituo cha Kikosi dhidi ya Ujangili (KDU) cha Kanda ya Kati, kjilichopo Wilaya hiyo juzi, yaliyokamtwa hivi karibuni katika Vijiji vya Kiyombo kilichopo Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora na Kijiji caha Chinangali Kilichopo Wiliaya Chamwino Mkoani Dodoma hivi karibuni. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Hima Sheria Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Robert Mande.

0 Responses to “RUNDO LA MENO YA TEMBO LAKAMATWA HUKO SINGIDA.”

Post a Comment

More to Read