Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimpa pole Waziri Mkuu Mstaafu
Mhe Freredick Sumaye alipokwenda kumjulia hali katika Taasisi ya Moyo ya
Jakaya Kikwete katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es
salaam leo Jumatatu Januari 11, 2016.
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akiongea na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Freredick Sumaye na Mama Esther
Sumaye alipokwenda kumjulia hali katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya
Kikwete katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam leo
Jumatatu Januari 11, 2016.
(Picha na Ikulu)
0 Responses to “ RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI WAZIRI MKUU MSTAAFU SUMAYE MUHIMBILI”
0 Responses to “ RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI WAZIRI MKUU MSTAAFU SUMAYE MUHIMBILI”
Post a Comment