Tuesday, March 18, 2014
HOT NEWS: SHEIKH PONDA ARUDISHWA SEGEREA, MAHAKAMA YATUPILIA MBALI OMBI LA DHAMANA YAKE
Do you like this story?
Ombi la
marejeo lililowasilishwa na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania,
Sheikh Issa Ponda limetupiliwa mbali na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam
ilipotoa uamuzi
wa pingamizi la awali lililowasilishwa na Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), akidai
kuwa ombi hilo halikuwa na msingi kisheria.
Kesi hiyo
iliyosikilizwa kwa saa 1 na dakika 40 ilitolewa uamuzi na Jaji Augustine
Mwarija.
Baada ya
uamuzi huo, Sheikh Ponda alirudishwa jela huko Segerea jijini Dar akiwa chini
ya ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “HOT NEWS: SHEIKH PONDA ARUDISHWA SEGEREA, MAHAKAMA YATUPILIA MBALI OMBI LA DHAMANA YAKE”
Post a Comment