Wednesday, March 19, 2014
NDUGU WA ABIRIA WA NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA WAISHUTUMU SERIKALI.
Do you like this story?
Moja ya ndege za Jeshi la Maji la Marekani ikitayarishwa kwenda kuisaka ndege ya Malaysia iliyopotea. |
Ndege nyingine ya jeshi la Marekani ikisafishwa ili kwenda kuitafuta ndege ya Boeing 777 iliyopotea.
CHANZO: DAILYMAILY
|
Mmoja wa wanafamilia walipotelewa ndugu akiongea kwauchungu na waandishi wa habari kwenye uwanja wa ndege wa Kuala Lumpur. |
Mwanamke akiondolewa na maofisa usalama wakati alipojaribu kulalamika kwenye mkutano wa waandishi wa habari katika hoteli ya Sepang mjini Kuala Lumpur. |
Familia ya Wachina waliokuwa na ndugu katika ndege ya Malaysia, wakisindikizwa kutoka kwenye mkutano wa waandishi wa habari. |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “NDUGU WA ABIRIA WA NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA WAISHUTUMU SERIKALI.”
Post a Comment