Wednesday, March 19, 2014
PICHA MBALIMBALI KUTOKA KWENYE BUNGE MAALUM LA KATIBA HII LEO.
Do you like this story?
Mjumbe wa Bunge Maalum, Evod Mmanda akifafanua kanuni za bunge hilo leo mjini Dodoma. |
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Iddi akijadiliana jambo na Waziri Mkuu Mizengo Pinda(kushoto) wakati wa semina ya kuhusu kanuni za bunge hilo leo mjini Dodoma. |
Waziri wa Katiba na Sheria ,Dk. Rose Asha Migiro akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia ,Januari Makamba wakati wa semina ya kuhusu kanuni za bunge hilo leo mjini Dodoma. |
Mjumbe wa Bunge Maalum Dk. Tulie Akson akifafanua kanuni za bunge hilo leo mjini Dodoma.(Picha na Magreth Kinabo) |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “PICHA MBALIMBALI KUTOKA KWENYE BUNGE MAALUM LA KATIBA HII LEO.”
Post a Comment