Tuesday, March 18, 2014

SUTI BUNGE LA KATIBA ZAMKERA MBATIA.




Mjumbe wa bunge maalum la katiba, James Mbatia amesema kupitisha kaninu za kuvaa suti katika bunge la katiba ni kuiga tamaduni za nchi za magharibi.

Mbatia amesema ni muhimu katika kufikia maamuzi kujali tamaduni zetu na siyo kuiga kila kitokacho nchi za magharibi.

Wenzetu kule ni baridi wakati wote hivyo kuvaa suti ni sawa. Huku  hali ya hewa na tamadunizetu ni tofauti kabisa. Amesema

Amesema ndio mana katika rasimu ya katiba kuna vifungu vya haki za binadamu lakini lazima twende mbali zaidi na kuanisha haki hizi amesema.

Mbatia alifafanua kuwa watanzania wengi bado hawazifahamu haki zao hivyo ni muhimu  sana kuwatetea. Amesema.

Amesema kua haki za msingi ambazo mtu amezaliwa nazo na hizo hazipaswi kuvunjwa. Haki nyingine zinaendelea na mazungira yetu ambazo tunapaswa kuzitetea.

Mimi katika masuala haya ya utetezi nin zaidi ya miaka 24 najua jinsi dola inavyovunja haki za bianadamu nimewahi  kufukuzwa chuo kikuu dare s salaam mwaka 1990 kwa kutofautiana mitazamo tu  na wengine.

0 Responses to “SUTI BUNGE LA KATIBA ZAMKERA MBATIA.”

Post a Comment

More to Read