Monday, March 31, 2014

TFF TUNAHITAJI MAKOCHA WA TIMU ZA TAIFA.




Mwishoni mwa mwezi Februari, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lilivunja mkataba na kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen na kukikabidhi kikosi cha Stars kwa muda chini ya mMkurugenzi wa uUfundi wa TFF, Salum Madadi akisaidiwa na kocha Hafidh Badru kutoka Zanzibar.

Kabla ya kuwa kocha wa Taifa Stars, kocha Kim Poulsen alikuwa anafundisha ni kocha wa timu za Taifa za vijana walio na umri enye umri chini ya miaka 20 na 1717 (Serengeti Boys) na chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes), ambazpo aliweza kuibua wachezaji wengi nyota ambao baadaye aliwajumuisha katika kikosi cha Taifa Stars.

Baadhi ya wachezaji aliowaibua pamoja na kocha Kim ni Frank Domayo, Simon Msuva, Ramadhan Singano, Edward Christopher, Idrissa Rashid na wengine wengi.
Lakini baada ya kumalizika kwa mkataba wa kocha wa vijana, Jacob Michelsen, TFF haikumuongezea mkataba kwa kuwa hakuweza kufanya kazi yake vizuri kama ilivyokuwa kwa Kim. TFF ilisema ingem

Pia, mwishoni mwa mwaka jana, TFF ilikataa kumuongezea mkataba aliyekuwa kocha wa timu za Taifa za vijana, Jacob Michelsen huku ikisema jukumu hilo inataka kumpa jukumu hilo kocha mzawa.

Baada ya TFF kuvunja mkataba na kocha Kim iliingia katika mchakato wa kutafuta kocha mpya wa Taifa Stars ili wamkabidhi jukumu la kuhakikisha Taifa Stars inafuzu kushiriki fFainali za Mataifa ya Afrika 2015.

0 Responses to “TFF TUNAHITAJI MAKOCHA WA TIMU ZA TAIFA.”

Post a Comment

More to Read