Wednesday, April 15, 2015
TAHADHARI KWA MADEREVA KONA HIZI ZA IYOVI NI KALI ZAIDI EPUSHA MAISHA YA ABIRIA CHUKUA TAHADHARI DHIDI YA AJALI
Do you like this story?
wewe
ni dereva wa basi la abiria ama gari binafsi
?hebu chukua hatua ya kupunguza ajali leo kwa
kujihadhari na kona hizi na Iyovi na Kitonga na kona
nyingine kali kama hizi nchini kwani maisha yako ni
dhamani kubwa na uhai wake bado tunautamani
Kumbuka
ni heri kuchelewa ukafika salama kuliko kuendesha
kwa haraka na ukafika majeruhi ama maiti tambua Taifa linakuhitaji
familia inakuhitaji na wewe dereva ni msaada wa abiria
wote katika gari lako na msaada wa maisha yako jitambue
,watambue abiria wako , jilinde utulinde abiria wako
maisha yako ni yetu na uhai wako ni tegemeo letu epuka
ajali zingatia sheria za barabarani ,
>
MATUKIO DAIMABLOG
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “TAHADHARI KWA MADEREVA KONA HIZI ZA IYOVI NI KALI ZAIDI EPUSHA MAISHA YA ABIRIA CHUKUA TAHADHARI DHIDI YA AJALI ”
Post a Comment