Wednesday, May 13, 2015
RAIA WA BURUNDI WATOA YA MOYONI.
Do you like this story?
Marais Jumuiya ya Afrika Mashariki wanakutana
leo jijini Dar Es Salaam kujadili mgogoro wa kisiasa unaendelea nchini Burundi.
Mkutano huo utakuwa chini uenyekiti wa Rais
wa Tanzania Jakaya Kikwete aliyeuitisha baada ya ujumbe wa mawaziri wa mambo ya
nchi za nje wa Jumuiya hiyo kwenda Bujumbura nchini Burundi wiki iliyopita.
Rais Pierre Nkurunziza ambaye analaumiwa
kugombea urais kwa muhula wa tatu, anatarajiwa kuhudhuria mkutano huo,
kusikiliza hoja za viongozi wenzake.
Lakini Je nao raia wa Burundi wana maoni gani
kuhusu mkutano huo wa marais wa Jumuiya ya Afrika Mashariki unaoanza leo nchini
Tanzania?.CHANZO:BBC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “RAIA WA BURUNDI WATOA YA MOYONI.”
Post a Comment