Thursday, March 31, 2016

MKOA WA MBEYA WAKUTWA NA WATUMISHI HEWA 98


Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla akitoa Taarifa ya watumishi hewa kwa Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,Georgy Simbachawene


Kwa upande wa Mkoa wa Mbeya,Mkuu wa Mkuo huo,Amos Makalla alisema katika mkoa wake kumekuwa na watumishi hewa 98 ambao pia wameitia hasara serikali Milioni 459 .6.

0 Responses to “MKOA WA MBEYA WAKUTWA NA WATUMISHI HEWA 98 ”

Post a Comment

More to Read