Friday, April 1, 2016

VIDEO YA WABUNGE 7 WAKITOLEWA NJE YA BUNGE LA KENYA BAADA YA KUPIGA FILIMBI RAIS UHURU AKIHUTUBIA.




Nchini Kenya ni Wabunge wa Upinzani kupiga filimbi sekunde chache tu baada ya Rais Uhuru Kenyatta kuanza kulihutubia bunge la nchi hiyo ambapo KTN wamesema hizo filimbi zilisababisha hotuba ya rais ichelewe kusomwa kwa zaidi ya dakika 30.

kitendo cha Wabunge wa upinzani kukosa nidhamu hii kulimfanya spika wa bunge la Kenya Justin Muturi kuamuru kutolewa nje ya bunge kwa Wabunge saba ambao walitolewa na askari wa bunge kwa mabavu..

Tazama hizi video..

0 Responses to “VIDEO YA WABUNGE 7 WAKITOLEWA NJE YA BUNGE LA KENYA BAADA YA KUPIGA FILIMBI RAIS UHURU AKIHUTUBIA. ”

Post a Comment

More to Read