Monday, June 13, 2016

HABARI PICHA: SIKU YA KONGAMANO KATIKA CHUO CHA MZUMBE CAMPUS YA MBEYA.


Albert Msando Mwanasheria wa Mahakama Kuu na ujasiliamali pia alitoa Semina.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina Akitoa neno kwa wanavyuo walioudhuria kwenye chakula cha jioni Jijini Mbeya.

Mkurugenzi wa Eag Group Bw Imani Kajula akitoa Neno kwa wanachuo.

Mkurugenzi wa Clouds Media Group Bw Ruge Mtahaba akitoa neno.

Washindi kutoka Vyuo Mbalimbali vya Mbeya ambao walishinda zawadi  kutoka Kampuni ya simu ya Huawei.


Watangazaji wa Mbeya Fm Pia walikuwepo katika kongamano hilo.






Picha ya pamoja wawezeshaji na washindi kutoka Vyuo Vikuu vya Mbeya.

0 Responses to “ HABARI PICHA: SIKU YA KONGAMANO KATIKA CHUO CHA MZUMBE CAMPUS YA MBEYA.”

Post a Comment

More to Read