Friday, June 24, 2016

VARDY ASAINI MKATABA WA MIAKA 4 LEICESTER NA KUUA NDOTO YA ARSENAL






Ndoto za kocha Arsene Wenger kumnasa mshambuliaji mahiri Jamie Vardy jana zilifikia ukingoni baada ya klabu yake ya Leicester City kutangaza rasmi kuwa wamefikia makubaliano na wawakilishi wa Vardy ambaye yuko Ufaransana timu ya taifa ya England, kuongeza mkataba kwa miaka 4 zaidi.









Vardy amemaliza msimu uliopita  akiwa na magoli 24  yaliyoisaidia klabu yake ya Leicester City kuchukua ubingwa wa ligi Kuu England.

 


0 Responses to “VARDY ASAINI MKATABA WA MIAKA 4 LEICESTER NA KUUA NDOTO YA ARSENAL”

Post a Comment

More to Read