Tuesday, June 21, 2016

WACHINA WAPEWA MAFUNZO YA UHUDUMU WA NDEGE.








Hii imeripotiwa na mtandao wa Daily Mail ambapo nchini China wahudumu wa ndege wanaandaliwa kwa mafunzo makali ya kijeshi, mafunzo hayo yametolewa ili kuwaandaa pale dharura inapotokea kwenye anga. Baada ya kuhitimu mafunzo wamechaguliwa kuwa maofisa usalama wa anga mbali na majukumu yao mengine ya uhudumu ndani ya ndege.

0 Responses to “WACHINA WAPEWA MAFUNZO YA UHUDUMU WA NDEGE.”

Post a Comment

More to Read