Thursday, September 22, 2016

WAHARIRI NA WASIMAMIZI WA VIPINDI KUTOKA REDIO ZA NYANDA ZA JUU KUSINI WAMALIZA KAZI



 Mwanasheria wa mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA Alyhasan Bwanga akifafanua masuala ya kisheria katika kikao cha wahariri na wasimamizi wa vipindi kwa redio za nyanda za juu kusini, kushoto kwake ni mjumbe wa kamati ya maudhui ya TCRA Abdul Ngarawa na makamu mwenyekiti wa kamati ya maudhui Bw. Joseph Mapunda. Kikao hicho kimefanyika Mkoani Mbeya (Picha zote na David Nyembe wa Fahari News)
Meneja wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA kanda ya nyanda za juu kusini Lilian Mwangoka akitoa mada kwa wahariri na wasimamizi wa vipindi wa redio za nyanda za Juu kusini 

Majura wa Mbeya Highlands Fm akichangia mada 


 Waandishi wa habari wakifuatilia somo
  


 Picha ya pamoja



0 Responses to “ WAHARIRI NA WASIMAMIZI WA VIPINDI KUTOKA REDIO ZA NYANDA ZA JUU KUSINI WAMALIZA KAZI”

Post a Comment

More to Read