Friday, September 4, 2015

CCM WAZINDUA KAMPENI ZA UBUNGE NA UDIWANI MKOA WA MBEYA.


Mgombea wa Ubunge jimbo la Mbeya Mjini kwa tiketi ya CCM Bw Sambwee Shitambala akiongea na wananchi wa Uyole ya kati wakati wa ufunguzi wa Kampeni za CCM Mkoa wa Mbeya Mjini.




Mwenyekiti wa umoja wa Vijana Mkoa Wa Mbeya Bw Amani Kajuna akimnadi Mgombea wa Ubunge jimbo la Mbeya Mjini kwa tiketi ya CCM Bw Sambwee Shitambala katika Viwanja vya Uyole kati.




Mgombea wa Ubunge jimbo la Mbeya Mjini kwa tiketi ya CCM Bw Sambwee Shitambala akisimikwa na Mkuu wa machifu Mkoa wa Mbeya Chifu Mwashinga.

Mwenyekiti wa Cccm Wilaya ya Mbeya Mjini Bw Ephraim Mwaitenda akiwanadi wagombea wa Udiwani wa kata Mbalimbali za Jiji la Mbeya Mjini.(Picha na David Nyembe wa Fhari News)




0 Responses to “CCM WAZINDUA KAMPENI ZA UBUNGE NA UDIWANI MKOA WA MBEYA.”

Post a Comment

More to Read